Colorado
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Colorado ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Iko katika magharibi kati ya Marekani bara. Mji mkuu na mji mkubwa jimboni ni Denver. Jimbo lina wakazi 4,939,459 (2008) wanaokalia eneo la kilomita za mraba 269,837. Colorado imekuna jimbo la Marekani tangu 1876.

Imepakana na Wyoming, Nebraska, Kansas, Oklahoma, New Mexico (Meksiko Mpya) na Utah.
Mto mkubwa ni Mto Colorado.

Remove ads
Viungo vya Nje
State of Colorado Official Website
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Colorado kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads