Kisiwa cha Axel Heiberg
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kisiwa cha Axel Heiberg ni kisiwa kikubwa cha eneo la kaskazini mwa Nunavut (Kanada).

Kinapatikana katika Bahari ya Aktiki kikiwa na ukubwa wa kilometa mraba 43,178, ila hakina wakazi.
Tazama pia
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kisiwa cha Axel Heiberg kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads