Baba Levo

mwanasiasa wa ACT Wazalendo na pia mtangazaji wa radio From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Clayton Revocatus Chipando (maarufu kama Baba Levo; jina lingine la kisanii ni Obd; alizaliwa Kigoma, 6 Juni 1986) ni mwanasiasa, mwimbaji, mtunzi wa muziki na msanii wa Bongo Flava kutoka Tanzania.[1][2]

Ukweli wa haraka Amezaliwa, Asili yake ...
Remove ads

Mafanikio

Baba Levo pia ni mhamasishaji (kiing. influencer) maarufu zaidi nchini Tanzania akiwa ameshinda tuzo mbili.


Siasa

Baba Levo alianza harakati zake za kisiasa kama mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo.

  • Udiwani: Alihudumu kama Diwani wa kata ya Mwanga Kaskazini katika Manispaa ya Kigoma Ujiji, nafasi aliyoshinda kupitia ACT Wazalendo.
  • Kujiunga na CCM: Baada ya muda, aliamua kurejea na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambapo alichukua fomu na kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya Ubunge.
  • Ubunge: Alifanikiwa kupitishwa na chama cha CCM na kugombea Ubunge katika jimbo la Kigoma Mjini. Katika uchaguzi mkuu, alishinda na hivyo kuwa Mbunge wa Kigoma Mjini kupitia tiketi ya CCM.
Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads