Bad Boy Records
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Bad Boy Records (jina kamili ni Bad Boy Entertainment) ni studio ya kurekodia muziki ya East Coast Hip-Hop/R&B iliyoanzishwa na mtayarishaji/rapa maarufu wa Kimarekani Bw. Sean "Diddy" Combs kunako mwaka wa 1993[1]. Leo hii inaendesha shughuli zake za muziki ikiwa chini ya kampuni ya muziki ya Warner Music Group, na kazi zake zinasambazwa na studio ya Atlantic Records.
Remove ads
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads