Bailundo ni mji uliopo magharibi mwa nchi ya Angola katika mkoa wa Huambo. Mwaka 2014 idadi ya watu ilikuwa 294,494. Tazama pia Orodha ya miji ya Angola MarejeoLoading content...Loading related searches...Wikiwand - on Seamless Wikipedia browsing. On steroids.Remove ads