Baltimore, Maryland

From Wikipedia, the free encyclopedia

Baltimore, Maryland
Remove ads

Baltimore ni mji wa Marekani katika jimbo la Maryland. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao milioni 2.7 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 10 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Thumb
Mji wa Baltimore, Maryland
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...


Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Baltimore, Maryland kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads