Bambi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Makala hii inahusu filamu ya Walt Disney. Kwa kata ya Wilaya ya Kati, tazama Bambi (Unguja Kati).
Bambi ni filamu ya katuni iliyotolewa mwaka wa 1942. Filamu ilitayarishwa na Walt Disney, na kutolewa kwenye makumbi tarehe 13 Agosti 1942 na RKO Radio Pictures. Hii ni ya 5 kutolewa kwa mujibu wa orodha ya filamu za katuni za Walt Disney. Filamu inatokana na kitabu cha Felix Salten chenye jina sawa na hili la filamu hii.
Hadithi ni kuhusu mtoto wa kulungu, jina lake Bambi, ambaye anajifunza kukua katika pori baada ya mama yake kuuawa kwa risasi na wawindaji.
Remove ads
Washiriki
- Bobby Stewart kama Bambi
- Donnie Dunagan kama Young Bambi
- Hardie Albright kama Adolescent Bambi
- John Sutherland kama Adult Bambi
- Paula Winslowe kama mama Bambi na Pheasant
- Peter Behn kama Young Thumper
- Tim Davis kama Adolescent Thumper na Adolescent Flower
- Sam Edwards kama Adult Thumper
- Stan Alexander kama Young Flower
- Sterling Holloway kama Adult Flower
- Will Wright kama Rafiki Owl
- Cammie King kama Young Faline
- Ann Gillis kama Adult Faline
- Fred Shields kama Great Prince ya Forest
- Margaret Lee kama Miss Rabbit
Remove ads
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads