Barnabas Kinyor
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Barnabas Kinyor (amezaliwa 3 Agosti 1961 kule Nandi Hills) ni Mkenya wa mbio za Mita 400 kuruka vizuizi.
Wasifu wa Kazi
Alimaliza wa 7 katika Michezo ya Commonwealth ya 1990, wa nane katika Mashindano ya Dunia ya Riadha ya 1993]] katika shindano la mita 400 kuruka vizuizi la wanaume na akashinda Nishani ya Shaba katika Michezo ya Jumuia ya Madola ya 1994. Pia alishiriki shindano hilo katika Michezo ya Olimpiki ya 1992 na ile ya 1996, na pia Mashindano ya Dunia ya Riadha ya 1995 lakini hakufika finali.
Muda wake bora zaidi
Muda wake bora zaidi ni sekunde 48.90, aliouweka wakati wa mashindano ya kupokezana vijiti ya Olimpiki ya 1992[1].
Maisha a Kibinafsi
Ana mtoto mmoja wa Kiume Job Kinyor aliyezaliwa 1990[2]). Mwana huyu ni mwanariadha chipukizi wa Masafa ya katikati[3]. Pamoja na bibiye Salina Kosgei ambaye pia ni mwanariadha, wana watoto wawili: Billy (aliyezaliwa 1996) na Ruth (aliyezaliwa mnamo 2001)[4].
Virejeleo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads