Basmala
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Basmala (Ar. بسملة basmala) ni jina kwa maneno ya Bismillah (بسم الله "Kwa jina la Mungu/Allah", kamili "b-ismi-llāhi r-raḥmāni r-raḥīmi") ambayo ni maneno ya ufunguzi kwa sura za Kurani[1]. Ar-rahman („mwenye rehema“) na Ar-rahim („mwenye neema“) ni pia kati ya majina 99 ya Allah.

Waislamu hutumia maneno haya mara nyingi kwa mfano kila wanapoanza sala au kazi muhimu kama vile kabla ya kula chakula, kabla ya safari, wakati wa kuingia katika msikiti, wakati wa kuzika maiti.
Katika sanaa ya Kiislamu basmala hutumiwa mara nyingi kama kaligrafia.
Remove ads
Picha
- Basmala kama kaligrafia ya Kiarabu
- Basmala kama kaligrafia kwa umbo la tunda
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads