Ben (albamu)

From Wikipedia, the free encyclopedia

Ben (albamu)
Remove ads

Ben ilikuwa albamu ya pili kutolewa na hayati mwimbaji na mtayarishaji muziki wa Kimarekani, Michael Jackson. Albamu ilitokewa mnamo mwezi wa Agosti ya mwaka wa 1972, miezi saba tangu kutolewa kwa albamu yake ya kwanza ya Got to Be There. Kibao chake cha "Ben" kiliuza sana na ndiyo nyimbo ya kwanza ya Jackson kushika nafasi #1 nchini Marekani.

Ukweli wa haraka Studio album ya Michael Jackson, Imetolewa ...
Remove ads

Historia

Orodha ya nyimba

  1. "Ben" (Don Black/Scharf) – 2:44
  2. "The Greatest Show on Earth" (Larson/Marcellino) – 2:48
  3. "People Make the World Go Round" (Bell/Creed) (yenyewe kabisa iliimbwa na The Stylistics) – 3:15
  4. "We've Got a Good Thing Going" (The Corporation) – 2:59
  5. "Everybody's Somebody's Fool" (Adams/Hampton) (yenyewe kabisa iliimbwa na The Heartbeats) – 2:59
  6. "My Girl" (Robinson/White) (yenyewe kabisa iliimbwa na The Temptations) – 3:08
  7. "What Goes Around Comes Around" (Levinsky/Stokes/Meyers/Weatherspoon) – 3:33
  8. "In Our Small Way" (Verdi/Yarian) – 3:39
  9. "Shoo-Be-Doo-Be-Doo-Da-Day" (Cosby/Moy/Wonder) (yenyewe kabisa iliimbwa na Stevie Wonder) – 3:21
  10. "You Can Cry on My Shoulder" (Gordy) (yenyewe kabisa iliimbwa na Brenda Holloway) – 2:39
Remove ads

Marejeo

Viungo vya Nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads