Music & Me
1973 studio Albamu ya Michael Jackson From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Music & Me ilikuwa albamu ya tatu kutolewa na mwimbaji wa Kimarekani, Michael Jackson. Albamu ilitolewa mnamo tar. 13 Aprili ya mwaka wa 1973, na studio ya Motown. Albamu ilitolewa wakati wa kipindi kigumu sana kwa kufuatia bwana mdogo mwimbaji alikuwa na mabadiliko ya sauti kutoka udogoni kwenda ukubwani na hivyo kupelekea kuleta tabu na badililo la muziki.
Remove ads
Historia
Orodha ya nyimbo
- "With a Child's Heart" (Basemore/Cosby/Moy) (yenyewe kabisa iliimbwa na Stevie Wonder) – 3:29
- "Up Again" (Perren/Yarian) – 2:50
- "All the Things You Are" (Hammerstein/Kern) – 2:59
- "Happy" (Kibwagizo kutoka katika filamu ya Lady Sings the Blues) (Legrand/Robinson) – 3:25
- "Too Young" (Lippman/Dee) – 3:38
- "Doggin' Around" (Agree) (yenyewe kabisa iliimbwa na Jackie Wilson) – 2:52
- "Johnny Raven" (Page) – 3:33
- "Euphoria" (Ware/Hilliard) – 2:50
- "Morning Glow" (Schwartz) – 3:37
- "Music and Me" (Cannon/Fenceton/Larson/Marcellino) – 2:38
Remove ads
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads