Bergen
manisipaa ya Vestland katika Norwei From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Bergen ni mji wa pili kwa ukubwa nchini Norwei. Mji una wakazi takriban 262,500 kulingana na makisio ya 31 Julai 2011.[1] Bergen ni kitovu cha ngazi ya utawala ya jimbo la Hordaland. Maeneo ya Mji Mkuu wa Bergen kama yalivyoelezwa na Statistics Norway, una wakazi 386,400 ifikapo 31 Julai 2011.

Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads