Bhisho

From Wikipedia, the free encyclopedia

Bhisho
Remove ads

Bhisho (nyati kwa Kixhosa; pia: Bisho) ni mji mdogo wa Afrika Kusini ambao ni mji mkuu wa jimbo la Rasi ya Mashariki. Ilikuwa mji mkuu wa bantustan ya Ciskei hadi 1994.

Thumb
Eneo la Makumbusho katika Mji wa


Ukweli wa haraka Nchi, Majimbo ...
Thumb
Mahali pa Bhisho (Wilaya wa Amatole) katika Afrika Kusini

Bhisho ilianzishwa kama mtaa wa makazi kwa ajili ya Waafrika Weusi kando la mji wa King William's Town uliohifadhiwa kwa wazungu tu wakati wa siasa ya ubaguzi wa rangi (Apartheid). 1994 miji yote miwili iliunganishwa.

Tangu 2000 maeneo kando la East London yaliungaishwa kuwa manisipaa ya Buffalo yenye wakazi 701,873. Bhisho una wakazi wapatao 138,000 wanaoishi katika mji huu. [1]

Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads