Bimbo Akintola
Muigizaji wa kike wa Nigeria From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Bimbo Akintola alizaliwa tarehe 5 Mei mwaka 1970[1]) ni mwigizaji wa filamu wa Nigeria.[2][3][4][5]
Maisha ya awali na elimu
Babayake anatoka katika jimbo la Oyo na mama yake anatokea jimbo la Edo. Alipata elimu ya msingi katika shule ya Maryland Convent Private School iliyopo Lagos, na elimu ya upili katika shule ya Command Day Secondary School, Lagos. Baadaye alipata shahada ya sanaa katika chuo kikuu cha Ibadan.[6][7]
Taaluma
Akintola alianza kuonekana katika filamu akiigiza katika filamu ya OWO BLOW ya mwaka 1995 akiwa na Femi Adebayo na baadaye akionekana pia katika filamu ya Out of Bounds ya mwaka 1997
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads