Bodimama
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Bodimama (kwa Kiingereza: Motherboard) ni kati ya bodi ya saketi iliyochapishwa (kwa Kiingereza: printed circuit board - PCB) katika kompyuta nyingi na inawezesha mawasiliano katika mfumo wa vifaa vya elektroniki. Wakati mwingine hujulikana kama bodi kuu, mfumo wa bodi, bodi ya mantiki[1] na hata mobo tu.

Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads