Boma (Kongo)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Boma ni mji wa Kongo Kati, katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (zamani ilijulikana kama Zaire).


Makadirio ya idadi ya watu ni 162,521 (2012).
Boma ulikuwa mji mkuu wa Kongo ya Kibelgiji hadi mwaka 1926.
Tazama pia
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads