Bona
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Bona ni kati ya watawa wa Misri waliouawa kwa ajili ya imani yao ya Kikristo.
Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yake, haorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 12 Septemba.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads