Borussia Dortmund
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Borussia Dortmund ni klabu ya mpira wa miguu ya nchini Ujerumani. Ni klabu ya michezo ya kitaalamu ya Ujerumani iliyoko jiji la Dortmund. Inajulikana zaidi kwa timu yake ya mpira wa miguu ya wanaume, ambayo inacheza katika Bundesliga. Klabu hiyo imeshinda michuano minane ya ligi, makombe matano ya DFB-Pokal, kombe moja la Ligi ya mabingwa barani Ulaya UEFA, Kombe moja la mabara(International club cup), na Kombe la Washindi wa UEFA Cup.[1] Rangi za Borussia Dortmund ni nyeusi na njano.[2]

Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads