Boston Celtics
Timu ya Chama cha Mpira wa Kikapu Marekani NBA yenye makao yake mjini Boston From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Boston Celtics ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Boston, Massachusetts. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Kemba Walker.
Remove ads
Viungo vya Nje
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Boston Celtics kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads