Brian Umony
Mwanasoka wa Uganda From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Brian Umony (alizaliwa 12 Desemba 1988 mjini Jinja, Uganda) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kulipwa kutoka nchini Uganda, ambaye anaichezea klabu ya Azam F.C. nchini Tanzania tangu mwaka 2013.
Remove ads
Remove ads
Viungo vya nje
- Brian Umony at National-Football-Teams.com
- SUFC Profile Ilihifadhiwa 15 Agosti 2010 kwenye Wayback Machine.
- transfermarkt.co
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads