Bruce Willis
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Walter Bruce Willis (amezaliwa tar. 19 Machi 1955) ni mwgizaji wa filamu na mwimbaji kutoka nchi ya Marekani. Alianza kupata umaarufu kuanzia maiaka ya 1980 hivi, na akabaki kuwa kama mwigizaji kiongozi pia mwigizaji msaidizi katika baadhi ya filamu zilizo kuwa zinaigizwa huko Hollywood.
Willis heshima ilikuja kuwa kubwa pale alipoigiza filamu ya Die Hard mnamo mwaka 1988, na kutumia jina la John McClane. Willis amemuoa mwgizaji filamu mwenzake bi.Demi Moore na wana watoto watatu kabla ya kutarikiana mnamo mwaka wa 2000, hiyo ilikuwa baada ya miaka kumi na tatu ya ndoa.
Willis amepokea tuzo nyingi na kupewa heshima tofauti na kazi yake, kwa kudhihirisha na kutoa baadhi msaada wake katika kikosi cha jeshi la Marekani, kujihusisha pia na maswala ya kisiasa.
Remove ads
Maisha ya awali
Filamu alizoigiza
Televisheni
Filamu taarisha
Remove ads
Albamu alizotoa
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads