Bunda

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Bunda ni mji mdogo na makao makuu ya Wilaya ya Bunda katika Mkoa wa Mara, Tanzania. Eneo la mji linajumlisha kata za Balili, Bunda MjiniBunda Stoo na Nyasura.  Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata za mji wa Bunda zina wakazi wapatao 63,001 waishio humo. [1]

Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads