Bushiri (Pangani)

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Bushiri ni kata ya Wilaya ya Pangani katika Mkoa wa Tanga, Tanzania, yenye Postikodi namba 21307.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 4,127 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,294 waishio humo. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ilikuwa na wakazi wapatao 4,348 waishio humo. [2]

Eneo la Bushiri ilikuwa nyumbani kwa Abushiri ibn Salim al-Harthi (au "Bushiri") aliyekuwa kiongozi wa mapambano ya watu wa pwani dhidi ya ukoloni wa Kijerumani miaka 1888/1889. Alikuwa huko na shamba lake.

Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads