Buskerud

Jimbo la Norway From Wikipedia, the free encyclopedia

Buskerudmap
Remove ads

Buskerud ni moja kati ya Majimbo ya Norwei. Jimbo limepakana na Akershus, Oslo, Oppland, Sogn og Fjordane, Hordaland, Telemark, na Vestfold. Ofisi ya utawala ya jimboni hapa ipo mjini Drammen.

Thumb
Drammen, Buskerud

Jiografia

Buskerud inaanzia kutoka Hurum katika Oslofjord hadi katika milima ya Halling na Hardanger. Kikawaida jimbo hugawanyika katika wilaya za zamani. Ambazo ni Eiker, Ringerike, Numedal na Hallingdal. Hønefoss ni wilaya kuu ya Ringerike.Upande wake wa magharibi ni milima na mabonde Uwanda wa misitu na ya juu, malisho ya nyasi; sehemu yake ya mashariki ina bonde tambarare na maziwa mengi na mito. Tyrifjorden na Krøderen ni miongoni mwa maziwa makubwa. Numedalslågen, ziwa la tatu ambalo ni refu sana nhini Norwei, linanza mjini Hordaland, linapitia Buskerud hadi Vestfold ambapo inakutana na bahari, wakati mto Begna unamwagikia katika ziwa Sperillen.

Remove ads

Manispaa

Thumb
Manispaa za Buskerud
Maelezo zaidi Ukubwa, Jina ...
Remove ads

Marejeo

Viungo vya Nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads