Butterfly

From Wikipedia, the free encyclopedia

Butterfly
Remove ads

Butterfly ni albamu ya sita ya studio, kutoka kwa Mwanamuzikin wa Marekeni anayeimba nyimbo zenye miondoko ya pop, Mariah Carey, iliyotoka resmi tarehe 19 Septemba 1997, kupitia katika studio za Columbia Recoerds. Albamu hii iliweza kuuza nakazala zaidi ya 3,719,000 nchini Marekani peke yake.[1] . Mariah anaielezea albamu hii kama hatua muhimu sana katika maisha yake ya kimuziki.

Ukweli wa haraka {{{Type}}}, Aina ...
Remove ads

Mapokezi

Butterfly ilipanda hadi nafasi ya kwanza katika chati ya nyimbio bora mia mbili ya Marekani, Billboard 200 huku ikiunza nakala zaidi ya 236,000 katika juma lake la kwanza tangu ilipooka, albamu hii ilikaa katika nafassi ya kwanza kwa jumla ya majuma ishirini na moja na kukaa ndani ya chati kwa jumla ya majuma hamsini na tano. Albamu hii, iliweza kuuza zaidi katika wiki yake ya kumi na nne na kumi na tano tangu itoke kuliko katika kiki yake ya kwanza, kwa kufanikiwa kuuza nakala 283,000 katika wiki yake kumi na nne wakati ikishika nafasi ya nane katika chati hiyo. Albamu hii ilichaguliwa kuwa moja kati ya albamu 1001 ambazo unatakiwa kuzisikiliza kabla haujafa. [2]

Remove ads

Orodha ya nyimbo

Kigezo:Orodha ya nyimbo

Toleo la kimataifa

13. "Honey" (So So Def Radio Mix featuring Da Brat and JD) (Carey, Robinson, Hague, Larkins, Price, McLaren, Freddie Perren, Alphonzo Mizell, Berry Gordy, Dennis Lussier) – 3:59
14. "Honey" (Def Club Mix) (Carey, Robinson) – 6:17

Latin American edition

15. "Mi Todo" (Carey, Afanasieff, Manny Benito) – 3:52

1 Sampled from the Treacherous Three's "The Body Rock" & the World Famous Supreme Team's "Hey DJ"
2 Sampled from Mobb Deep's "Shook Ones"

Remove ads

Chart performance

Maelezo zaidi Chati, Ilipata nafasi ...
  • Most certifications are from old criterion (Sales may be higher than the certification level says now).
Alitanguliwa na
Fuzaken ja ne by Tsuyoshi Nagabuchi
Japanese Oricon weekly
22 Septemba 1997
Akafuatiwa na
Junior Sweet by Chara
Alitanguliwa na
In Deep by Tina Arena
Australian ARIA Albums Chart number-one album
28 Septemba - 4 Oktoba 1997
Akafuatiwa na
Anthology 1: Greatest Hits 1987-1997 by John Farnham
Alitanguliwa na
Niets Te Verliezen by De Kast
Dutch Albums Charts number-one album
27 Septemba - 4 Oktoba 1997
Akafuatiwa na
Weil Ich Dich Liebe by Frans Bauer
Alitanguliwa na
You Light Up My Life — Inspirational Songs
by LeAnn Rimes
Billboard 200 number-one album
4-10 Oktoba 1997
Akafuatiwa na
Evolution by Boyz II Men

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads