Cádiz
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Cádiz ni mji wa Hispania, mji mkuu wa Mkoa wa Cádiz.
Mwaka 2019 wakazi wake walikuwa 116,027 [1] na kuufanya wa hamsini na saba nchini kwa wingi wa watu.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads