Call Mi Yuh Ruler
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
"Call Mi Yuh Ruler" ni jina la wimbo uliotoka 26 Agosti , 2017 wa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Kenya- Dabby K. Huu ndio wimbo wa kwanza kutolewa tangu kujiunga rasmi na Dapstrem Entertainment. Wimbo umetayarishwa na Mk2 Records
Kigezo:DabbyK
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads