Capoeira

From Wikipedia, the free encyclopedia

Capoeira
Remove ads

Capoeira ni mchezo wa kujihami kwa kutumia mateke wenye asili katika nchi ya Brazili. Ni mchezo ambao huchezwa kwa sarakasi, ngoma na muziki [1].

Thumb
Wachezaji wa Capoeira nchini Ujerumani

Mchezo huo ulianzishwa katika karne ya 16 na watumwa kutoka Afrika ambao wengi wao walikuwa wanatokea katika nchi ya Angola na [2] katika kipindi cha mwanzo mchezo huo ulikuwa ukionekana kama sarakasi za kawaida ikawa vigumu kwa wakoloni kugundua kuwa watumwa hao walikuwa wakifanya mazoezi ya mapigano.

Remove ads

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads