Chaozhou

From Wikipedia, the free encyclopedia

Chaozhou
Remove ads

Chaozhou (kwa Kichina: 潮州市) ni mji wa China katika jimbo la Guangdong.

Thumb
Mtaa wa Paifangjie uliopo mjini Chaozhou
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2002, kuna wakazi wapatao milioni 2.5 wanaoishi katika mji huu.

Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Chaozhou kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads