Charles Thomson Rees Wilson

From Wikipedia, the free encyclopedia

Charles Thomson Rees Wilson
Remove ads

Charles Thomson Rees Wilson (14 Februari 1869 15 Novemba 1959) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uskoti. Hasa alichunguza mionzi ya aina mbalimbali. Mwaka wa 1927, pamoja na Arthur Compton alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charles Thomson Rees Wilson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Charles Wilson
Thumb
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads