Chelyabinsk

From Wikipedia, the free encyclopedia

Chelyabinsk
Remove ads

Chelyabinsk ni mji wa Urusi upande wa mashariki wa milima ya Ural na makao makuu ya mkoa wa Chelyabinsk Oblast.

Thumb
Chelyabinsk

Mji huwa na wakazi zaidi ya 1,100,000 kuna viwanda vingi.

Jina la mji lilitajwa mara ya kwanza mwaka 1736 wakati ule kulikuwa na boma la kirusi katika pori tu. Likanendelea kuwa mji mdogo lakini baada ya kuungwa na reli tangu karne ya 20 ilikua. Vita Kuu ya Pili ya Duni ilileta kuhamishwa kwa viwanda vya kijeshi hapa kwa sababu magharibi ya Urusi ilitekwa na Ujerumani wakati wa vita. [1].

Tarehe 15 Februari 2013 kimondo kilipasuka juu ya Chelyabinsk na kusababisha kiasi cha uharibifu[2].

Remove ads

Marejeo

Viungo vya Nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads