Chimala

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Chimala ni kata ya Wilaya ya Mbarali katika Mkoa wa Mbeya, Tanzania.

Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...

Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi walihesabika kuwa 28,646 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 16,633 [2] walioishi humo.

Msimbo wa posta ni 53605.

Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads