Chui-theluji (Kisayansi: Panthera uncia au Uncia uncia zamani) ni mnyama mwenye manyoya marefu meupe afananaye na chui . Anaishi milimani mwa Asia ya Kati na aliye na madoa meusi.
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi ...
Chui-theluji
Chui-theluji Uncia uncia
Uainishaji wa kisayansi
Himaya:
Animalia (Wanyama)
Faila:
Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli:
Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda:
Carnivora (Wanyama mbua)
Nusuoda:
Feliformia (Wanyama kama paka )
Familia:
Felidae (Wanyama walio na mnasaba na paka)
Nusufamilia:
Pantherinae (Wanyama wanaofanana na chui )
Jenasi:
Panthera Oken , 1816
Spishi:
P. uncia (Schreber , 1775)
Msambao wa chui-theluji: mkazi (machungwa) au labda (machungwa isiyoiva)
Funga
Video ya chui wa theluji huko Ladakh