Paka

From Wikipedia, the free encyclopedia

Paka
Remove ads

Paka ni wanyama walao nyama wanaohusishwa na nusufamilia Felinae katika familia Felidae. Ndani ya kundi hili hupatikana spishi mbalimbali kama duma, simbamangu, mondo na wengineo. Wengi wao ni wadogo kama paka wa kufugwa majumbani, lakini wapo walio wakubwa zaidi kama duma, linksi na puma.[1]

Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...

Isipokuwa spishi kama simbamangu, Asian golden cat, puma na pengine paka-msitu, paka wengi wana alama za milia au madoa katika manyoya yao. Paka hukamata mawindo ya aina mbalimbali, na ukubwa wa mawindo hutegemea ukubwa wa spishi husika.[2][3]

Baadhi ya spishi za paka hupatikana katika misitu, ilhali nyingine hupatikana katika maeneo ya wazi kama savana na nyanda kame.[4][5][6]

Remove ads

Spishi za Afrika

Remove ads

Spishi za mabara mengine

Remove ads

Picha

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads