Chuo Kikuu cha Ilorin
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Chuo Kikuu cha Ilorin, kinachojulikana pia kama Unilorin, ni chuo kikuu kinachomilikiwa na serikali ya shirikisho kilichopo Ilorin, Jimbo la Kwara, Nigeria.[1]Chuo kikuu kipo kwenye eneo kubwa la ardhi, takriban hekta 15,000 katika mji wa kale wa Ilorin; na hivyo kuwa chuo kikuu kikubwa zaidi nchini Nigeria na mojawapo ya vikubwa zaidi barani Afrika kwa ukubwa wa ardhi. Chuo kikuu kina jumla ya vitivo 17 na zaidi ya idara 100 za masomo. Kilianzishwa kwa amri ya serikali ya kijeshi ya shirikisho mnamo Agosti, 1975.[2]
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads