Cloe Lacasse
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Cloé Zoé Eyja Lacasse (alizaliwa 7 Julai, 1993) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Kanada[1][2] ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Arsenal ya Ligi Kuu ya Wanawake na timu ya taifa ya Kanada.[3][4]

Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads