Closer
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
"Closer" ni wimbo wa mwimbaji wa muziki wa pop-R&B wa Kimarekani - Ne-Yo. Wimbo ulitayarishwa na Stargate.[2]
Wimbo ulitolewa ukiwa kama wimbo wa kwanza kutoka katika albamu yake ya tatu ya Year of the Gentleman. Ilishika nafasi ya kwanza katika UK na kutumia takriban wiki 11 katika Kumi Bora za UK. Kwa mujibu wa BBC Radio 1's, "Closer" umekuwa wimbo wa kumi na tano kwa kufanya mauzo makubwa kwa mwaka 2008 katika UK na chati zake.
Remove ads
Remove ads
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads