Coca-Cola
Kinywaji kisicho na kilevi From Wikipedia, the free encyclopedia
Coca-Cola, au Coke, ni kinywaji kisicho na kilevi kinachotengenezwa na kampuni ya Coca-Cola. Mnamo mwaka 2013, bidhaa za Coke ziliuzwa kwenye zaidi ya nchi 200 duniani kote, na zilikua na watumiaji zaidi ya bilioni 1.8. Coca-Cola ilikua nafasi 87 katika orodha iliyotolewa na gazeti la fortune 500 ya makampuni yenye kipato kikubwa zaidi nchini Marekani.[1]
Kulingana na utafiti wa Interbrand (2020) wa brand bora ya kimataifa, Coca-Cola ilikuwa brand ya sita yenye thamani zaidi duniani.[2]
Jina la kinywaji "Coca cola" limetokana na mchanganyiko wake wa majani ya "Coca" na karanga za "kola" (chanzo cha kafeini)[3]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.