Colima (jimbo)

From Wikipedia, the free encyclopedia

Colima (jimbo)
Remove ads

Colima ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexico upande wa magharibi ya nchi. Ina pwani na Pasifiki. Ni jimbo dogo, imepakana na Jalisco na Michoacán.

Thumb
Colima, Mexico
Thumb
Bendera ya Colima
Thumb
Mahali pa Colima katika Mexiko

Mji mkuu ni Colima na mji mkubwa ni Manzanillo. Jimbo lina wakazi wapatao 567,996 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 5,191.

Gavana wa jimbo ni Jesus Silverio Cavazos Ceballos

Lugha rasmi ni Kihispania

Remove ads

Miji Mikubwa

  1. Manzanillo (137,842)
  2. Colima (132,273)
  3. Tecomán (76,166)


Viungo vya Nje



Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Colima (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads