Colombo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Colombo ni mji mkubwa wa Sri Lanka wenye wakazi 647,100 (2001).[1] Ilikuwa mji mkuu wa nchi hii tangu mwaka 1814 mpaka mwaka 1978.

Asili ya jina ni neno la Kisinhala "Kolamba" linalomaanisha bandari.
Remove ads
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads