Cormega
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Cory McKay (anajulikana kwa jina la kisanii kama Cormega au Mega) ni rapa na mtunzi wa nyimbo kutoka mjini New York City huko nchini Marekani.
Remove ads
Maisha ya awali
Cormega alizaliwa mjini Brooklyn, NY na kukulia katika maeneo mbalimbali ya mjini humo New York City, alijenga urafiki wa utotoni na marapa wa baadaye kama vile Nas, Nature, na Capone .[1][2] Maudhui mengi katika muziki wake yanahusu hasa marafiki na nduguze waliouawa kwa kufuatia machafuko au ukorofi katika maisha yao.
Diskografia

Albamu
Albamu za kompilesheni
Vibao vyake
Remove ads
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads