Cosmas Desmond

Mwanaharakati wa Afrika Kusini From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Cosmas Desmond (19 Novemba 1935 - 31 Machi 2012) alikuwa mtawa Mfransisko, mwanaharakati na mwandishi wa Afrika Kusini aliyetokea Uingereza.

Kwa vile aliandika dhidi ya ubaguzi wa rangi kuchapisha na kusoma vitabu vyake nchini Afrika Kusini kulipigwa marufuku.

Baada ya mabadiliko ya kisiasa mwaka wa 1990 Desmond akawa mwandishi mashuhuri tena[1]. Akakaa Afrika Kusini hadi kufariki kwake.

Angalia pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads