Djemila
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Djemila (kar.: جميلة "mzuri, unaopendeza") ni kijiji katika Algeria ya kaskazini penye maghofu ya Curculum (pia: Cuicul) uliokuwa mji wa Roma ya Kale katika jimbo la Numidia. Maghofu yamepokelewa katika orodha ya urithi wa dunia tangu 1982.



Curculum iliundwa mnamo mwaka 97 BK kama koloni ya Kiroma wakati wa Kaisari Nerva. Mji ulistawi vizuri hadi kuvamiwa na Wavandali 431. Baadaye ilitekwa na jeshi la Bizanti lakini iliendelea kupungua. Iliachwa tayari kabla ya kufika kwa Waarabu katika karne ya 7.
Remove ads
Tazama pia
Viungo vya Nje
- Tovuti ya UNESCO
- Habari na picha za ziada Ilihifadhiwa 11 Februari 2006 kwenye Wayback Machine. (kifaransa)
- Tovuti ya makumbusho ya Djemila Ilihifadhiwa 11 Septemba 2007 kwenye Wayback Machine.
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads