Cyclops (komiki)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Cyclops (Kiswahili: Siklopsi) ni supa-shujaa aliyetoka ulimwengu wa Marvel Comics. Alikuwa mwanachama wa kwanza na mkuu wa X-Men. Cyclops ni mutanti mwenye uwezo kufyatua mionzi ya nishati kutoka macho yake.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Cyclops (komiki) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads