X-Men

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

X-Men (Kiswahili: Watu-X) ni timu ya supa-mashujaa wa mutanti wa ulimwengu wa Marvel Comics.

Ukweli wa haraka (Watu-X), Maelezo ya chapisho ...

Orodha ya X-Men

1963-1966

  • Professor X (Profesa X) - Mwanazalishi wa X-Men na mkuu wa Xavier Institute for Higher Learning.
  • Cyclops (Siklopsi) - Alikuwa mwanachama wa kwanza wa X-Men.
  • Iceman (Mtu-Barafu) - Ana uwezo wa kutawala na kutupa barafu.
  • Angel (Malaika) - Mutanti mwenye mabawa.
  • Beast (Nunda) - Ana manyoya ya buluu na nguvu ya juu.
  • Marvel Girl (Msichana-Ajabu) - Mutanti mwenye telepathi na telekinesi

1966-1969

  • Havok (Uangamizi) - Mutanti mwenye uwezo kupiga mionzi ya utegili kutoka mikono yake.
  • Polaris - Ana mamlaka ya sumaku
  • Mimic (Mwiga)
  • Changeling (Chenjilingi)

1975-1979

  • Sunfire (Moto wa Jua)
  • Thunderbird (Ndegeradi)
  • Banshee (Banshi)
  • Colossus (Koloso)
  • Nightcrawler (Shetani-Usiku)
  • Storm (Dhoruba)
  • Wolverine (Fisi-milima)

1980-1989

  • Magneto
  • Shadowcat (Paka-Vivuli)
  • Rogue (Ayari)
  • Forge (Mhunzi)
  • Psylocke
  • Phoenix (Finiksi)
  • Lockheed
  • Dazzler (Kimeta)
  • Longshot

1990-1999

  • Jubilee (Jubilii)
  • Gambit (Gambiti)
  • Bishop (Askofu)
  • Revanche (Ulipizi)
  • Cannonball (Mpira wa Mzinga)
  • Marrow (Uboho)
  • X-Man (Mtu-X)
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu X-Men kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads