D. B. Woodside
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
David Bryan "D.B." Woodside (amezaliwa tar. 25 Julai 1969 mjini Jamaica, Queens, New York) ni mwigizaji wa filamu na televisheni kutoka nchini Marekani.
Huenda akawa anafahamika kwa kuigiza kama Mkubwa wa Wafanyakazi wa Ikulu ya Marekani (na baadaye Rais) Wayne Palmer katika mfululizo wa FOX - 24. Mengineyo, anafahamika kwa kushiriki kwake katika The Temptations na Buffy the Vampire Slayer.
Remove ads
Viungo vya Nje
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu D. B. Woodside kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads