Kideni

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kideni

Kideni ni moja kati ya lugha za Kijerumaniki, kinazungumzwa nchini Udeni, Visiwa vya Faroe, na sehemu kadhaa za Grinlandi na Ujerumani (Kusini mwa Schleswig). Idadi ya wasemaji wa lugha hii inakadiriwa kuwa ni milioni 5.5. Nchini Grinlandi na Kisiwani Faroe, lugha hii inatumika kama ya pili kitaifa. Kwa watu wa Udeni, au Wadeni, lugha hii inajulikana kama dansk.

Ukweli wa haraka Kideni Dansk (da), Lugha ...
Kideni
Dansk (da)
Lugha
Asili Udeni Schleswig-Holstein (Ujerumani)
Wasemaji

L1 : 6.0 Milioni

Familia za lugha Kihindi-Kiulaya
Kijerumaniki
Kijerumaniki cha Kazkazini-magharibi
Kijerumaniki cha Kazkazini
Kiskandinavia cha Mashariki
Kideni
Aina za Awali Kiskandinavia cha Kale
Kiskandinavia cha Mashariki cha Kale
Mfumo wa kuandika Alfabeti ya Kilatini
Lugha Rasmi
Lugha rasmi kwa ,Ufalme wa Udeni,Visiwa vya Faroe, Umoja wa Ulaya
Nambari za Msimbo
ISO 639-1 da
ISO 639-2 dan
Glottolog dani1285
Funga
Thumb
Lahaja za Kideni

Mfano

Hapa kuna mifano miwili ya Kideni:

Maelezo zaidi Kiswahili ...
KiswahiliKideni
SalamHej
KwaheriFarvel
AhsanteTak
Unatoka Wapi ?Hvor kommer du fra?
PamojaMed
MimiJeg
NdiyoJa
HapanaNej
am/are/isEr
KiingerezaEngelsk
KamaHvis
NinakupendaJeg elsker dig
ChumbaVærelse
CopenhagenKøbenhavn
AnkaraRegning
MsosiMad
SawaOkay
MwamvuliParaply
WapiHvor
NaniHvem
IpiHvilken/hvilket
BeiPrisen
Iko wapiHvor er
Uwa. NdegeLufthavn
BarabaraVej
JogooHane
Kuku JikeKylling
SamakiFisk
Asiyekula nyamaVegetar
FananishaSammenligne
TreniTog
Funga

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kideni kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.