Daadetalbahn
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Daadetalbahn ni jina la mstari namba RB97 ya Rhine-Palatino.
Kuhusu




Daadetalbahn ni mstari wa reli kaskazini wa Rhine-Palatino, Ujerumani, wilaya ya Altenkirchen.


Inahudumia na kampuni Westerwaldbahn GmbH, Daadetalbahn sio huduma Dreiländerbahn ya HLB au ya DB.
Treni za Daadetalbahn zinaendeshwa ndani za wilaya ya Altenkirchen tu ndani za ardhi ya Westerwald kutoka Betzdorf hadi Daaden kando ya ukingo ya mto Daade (Daade ni mto ina mwisho kwa mto Sieg.
Kuna magari mawili ya manufakturi Stadler GTW.
Mpala 1994 umenitumia na rail buss. Kabla Westerwaldbahn wamenunua magari ya GTW imehudumia na magari ya VT 98.
Juu ya Daadetalbahn kuna usafiri ya treni za eneo za abiria tu, huduma za treni za masafa marefu au treni za vitu hamna.
Daadetalbahn ine mrefu ya kilomita 9.9, imefunguliwa 1885 kutoka Betzdorf hadi Biersdorf, kuanzia 1886 inahudumia kutoka Biersdorf hadi Daaden pia.
Kuanzia muda huu watu wameshaomba jamuhuri kuendelea na matengenezo hadi Westerburg, Hachenburg au Fehl-Ritzhausen via Bad Marienberg, lakini kuanzia 1986 bado njia ya reli kutoka kusini hawajatengeneza.
Kuanzia 1994 kampuni Westerwaldbahn GmbH wanamiliki vituo na njia ya reli na wanafanya huduma pia, mpaka 1994 njia ya reli ya jamuhuri ya Ujerumani wamefanya huduma.
Ilikuwa na vituo viwili huko Biersdorf, Biersdorf (Westerwald) na Biersdorf Ort (Biersdorf kijiji), kituo cha Biersdorf (Westerwald) umefungwa 2022.
Sababu Daadetalbahn ipo ndani za wilaya ya Altenkirchen, ipo sehemu ya Umoja wa usafiri wa umma wa Rhine-Moselle (VRM), lakini tiketi za Umoja wa usafiri wa umma wa Rhine-Sieg (VRS) zipo halali pia kama mwanzo au mwishi wa safari zipo sehemu ya VRS.
Remove ads
Tazama pia
- Alsdodorf
- Biersdorf
- Betzdorf (Sieg)
- Daaden
- Niederdreisbach
- Schutzbach
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads