Daaden

From Wikipedia, the free encyclopedia

Daaden
Remove ads

Daaden ni mji mdogo kaskazini wa jimbo la Rhine-Palatino ya Ujerumani.

Thumb
Ramani za Wilaya ya Altenkirchen na mji wa Daaden (nyekundu)
Thumb
Kanisa la Angelikana Daaden
Thumb
Kanisa na barabara ya Lamprecht
Thumb
Makumbusho ya mkoa ya Daaden
Thumb
Treni za eneo, Mstari RB97, jukwaani ya kituo cha reli Daaden
Thumb
Basi la eneo kituoni cha reli Daaden

Eneo

Daaden ipo kata la Daaden na wilaya ya Altenkirchen. Daaden ni mji moja kwa miji saba (kando ya Altenkirchen, Betzdorf, Kirchen, Herdorf na Wissen) kwenye wilaya ya Altenkirchen. Daaden ipo mtoni wa "Daade".

Vitu muhimu

Kanisa la Baroki na nyumba za kihistoria za nusu-timberi ni muhimu kwa mjimwa Daadem, lakini pia kwa wapenzi wa asili na njia nyingi kutembea au kutumia baiskeli misitu minene na vile vile.

Wakazi

Mwaka 2024 Daaden ilikuwa na wakazi 4280.

Trafiki

Kuna kituo cha reli inaitawa Daaden pia, hapa kuna huduma za treni ya eneo, mstari wa RB97, Daadetalbahn (Betzdorf (Sieg) - Daaden). Pia kuna huduma za mabasi la eneo pia. Daaden ipo eneo za umoja wa usafiri wa umma wa Rhine-Moselle (Kijerumani:Verkehrsverbund Rhein-Mosel (VRM).

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads