Ndugu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ndugu ni hasa mtu anayechanga na mwingine mzazi mmojawapo, lakini pia anayechanga naye babu, bibi au asili moja, kwa mfano mama mzazi ni ndugu kwa wanae.

Kwa kawaida uwepo wa ndugu katika maisha ya binadamu unasaidia kukua vizuri,[1][2] ingawa pengine unaweza ukasababisha matatizo.[3]
Katika Kiswahili, ndugu wa kiume anaitwa kaka, hasa kama ni mkubwa kuliko mhusika. Hapo mara nyingi anakubalika kuwa na haki za pekee na majukumu kwa wadogo wake na dada zake.
Remove ads
"Ndugu" bila ukoo mmoja
Jina "ndugu" hutumiwa pia kwa watu wasiochanga ukoo. Inaweza kutaja pia marafiki wakubwa, au watu wanaoshirikiana katika shughuli za dini au siasa. Kwa mfano Wakristo mara nyingi huitana "ndugu", kutokana na lugha iliyotumiwa katika maandiko ya Agano Jipya; vilevile wanachama wa vyama mbalimbali huitana "ndugu".
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads